Home

HOME I

Saturday, September 18, 2010

MKO WAPI X-MAARIFA-THAQAAFA 1999

Asalam alaykum !!!!
Nawatafuta wote waliomaliza MAARIFA- TANDIKA( Thaqaafa) mwaka 1999, enzi za walimu Ndoa, Ng'ipamba, kamwe, makerere , mahimbo, Goerge, Nyama wee  (mr seif), nk.

Jamani akina KALOKA, ROGER, mkakile, mtumwa zidy, Lukary , nijulisheni ma mates wote maana tunataka tuandae Glob ya maarifa-tandika ili tuweze kuwa karibu na kusaidiana kimawazo,

Wenu : kipira babuu ,aka bayaki boy, au Baba Hafsa.

1 comment:

kipira said...

kaka shwari, wazo zuri sana kaka tena ni kwenda na technology....
Naomba pia mtume picha kama mliwai piga shulen ili tukumbuke enzi, sambamba na email zenu na detail zenu kama full profile, iliwenzako waweze kujua uo wapi na wafanya nini sasa......