Home

HOME I

Saturday, December 25, 2010

mtoto wa mkulima akiwa shambani kwake

Image 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivaa mabuti kujiandaa kuingia shambani kupanda mahindi huku mjukuu wake, Ivan Wimbo (kushoto) akimuangalia. Waziri Mkuu yupo kijijini kwao Kibaoni mkoani Rukwa kwa mapumziko ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya.


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa shambani kwake Kibaoni kwa maandalizi ya kupanda mahindi mh yupo nyumbani kwao kwa mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya.
 

 

No comments: