Home

HOME I

Sunday, January 2, 2011

Saloon ya kiume inauzwa


Saloon ya kisasa iliopo maeneo ya ya Tegeta Nyaishozi,ina vifaa vyote vya ndani.
mnunuzi hatalipia kodi ya mwaka mzima.
ina A/C,Heater ya maji ya moto,Steamer,Tv pamoja na Washing Chair.

Bei Maelewano.


kwa mawasiliano 0655 844 266.
inavyoonekana ukiwa kwa nje.
kabati la kuhifadhia vifaa.
 

No comments: