Home

HOME I

Thursday, December 9, 2010

kupata mwenza katika maisha n safari ndefu,

msaada tutani tafadhali
Habar za kazi kaka ......hongera kwa kazi nzuri ya kutupa taarifa mbalimbali ktk blog yetu ya jamii.
Naomba msaada,uniwekee post yangu hii katika blog yetu pls!

mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 26.elimu yangu ni form 4,na kwa sasa nafanya kazi ya ualimu huku kilimanjaro. nimekuwa ktk relation mara 2 kwa wakati tofauti ila tatizo ni kuwa najihis nina bahati mbaya,bcoz kila niliyedate nae alikuwa tayar ktk uhusiano. so mimi nimechoka kuwa mtu wa ziada.ndio maana natafuta mtu aliye serious ili tufanye maisha.nipo tayar kupima HIV,na hata kama atahitaji tuchunguzane kwa muda nipo tayari kwa aliye muaminifu.
weka email yangu,ili kwa atakae kuwa tayari tuwasiliane,
na endapo kuna maswali nitayajibu.
Thanx!
marryjoseph84@gmail.com
 
 
 
source   :michuzi Blog

No comments: