Home

HOME I

Thursday, October 21, 2010

Meli ya Hospitali ya China yatia nanga Dar, kutoa matibabu bure

Meli ya Hospitali ya China ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam jana tayari kwa kutoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa mbalimbali.
Mganga Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akionyeshwa machine ya upimaji magonjwa ya moyo iliyomo katika meli ya China, alipotembelea meli hiyo , katika Bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Kamanda wa meli hiyo, Bao Yuping na kulia ni Balozi wa China hapa nchini Liu Xinsheng.
Sehemu ya wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) ndani ya meli hiyo.
Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akipewa zawadi maalum na Kamanda wa Meli ya China, yenye vifaa na madaktari wa kutoa huduma za matibabu, Bao Yuping,
alipotembelea meli hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam jana.
‘Makamanda wa kike’ wanaofanya kazi katika meli hiyo ambao pia ni madaktari wa magonjwa mbalimbali.

1 comment:

Mponda said...

Hii meli huwa inatumika wapi haswa? Vitani au ndo shughuli yake kutoa huduma sehemu mbali mbali duniani?