Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe ameshinda uchaguzi Jimbo la Hai na kurejea bungeni tena kama mbunge baada ya kuwa nje kwa miaka mitano
Mwenyekiti wa TLP Mh. Augustino Lyatonga Mrema ametangazwa kuwa Mbunge mteule wa Jimbo la Vunjo baada ya kushinda kwenye kinyang'anyiro cha kiti hicho baada ya kukaa nje kwa muongo mmoja
1 comment:
hey big up to mbowe & mrema ...hope in the house challange will be seen
Post a Comment